Jerry Muro "kwani Simba wana uwanja au wana kapeti la nyasi bandia, ule uwanja si kama wa Shule ya msingi Buza tu tofauti makapeti " Walichofanya Simba wamenunua kapeti wametandika wameweka na magoli alafu wanatangaza wana uwanja
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment