Muuguzi wa Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) katika Hospitali ya San Gerardo, Daniela Trezzi (34) amejiua baada ya kupata maambukizi ya #COVID_19 na kuhofia kuwa atawaambukiza wengine
Mbali na hofu ya kueneza Virusi hivyo, imeelezwa kuwa Daniela pia alikuwa na msongo wa mawazo uliosababishwa na kazi kubwa wanayofanya watumishi wa afya katika kudhibiti #CoronaVirusKabla ya kifo chake aliwaambia wafanyakazi wenzake kuwa ana wasiwasi amemuambukiza mtu mwingine Virusi hivyoUchunguzi zaidi wa kifo cha #DanielaTrezzi unaendelea
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment