"Wataanza Kukumiss pale watakapokosa mbadala wako. Wataanza kukumiss pale watakapoona uso wako umejaa tabasamu na muonekano wako ni bomba kuliko awali.
Ulifanikiwa kuchomoka, ukapona! Kuwa makini, usiangukie kwenye mikono yao tena"
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment