Rais wa zamani wa Real Madrid ya Hispania, Lorenzo Sanz amefariki kwa virusi vya corona.
Mwaka 1998, Sanz aliiwezesha RealMadrid kucheza fainali ya kwanza ya michuano ya Ulaya baada ya miaka 32 bila kucheza.
Rais wa zamani wa RealMadrid ya Hispania Lorenzo Sanz amefariki dunia kwa virusi vya corona, Sanz ,76, alikuwa Rais wa RealMadrid kwa miaka mitano (1995-2000) Sanz mwaka 1998 aliiwezesha RealMadrid kucheza fainali ya kwanza ya michuano ya Ulaya baada ya miaka 32 #MillardAyoSPORTS
92 people are talking about this
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment