Breaking

Saturday, April 11, 2020

Alikiba Athibitisha Collabo na Hamisa Mobetto “Baba Hawezi Kumnyima Mtoto Wake Collabo”

Msanii wa muziki wa bongo Fleva na C.E.O wa lebo ya Kings Music Alikiba amethibitisha kuwa uwezekano wa Collabo na Video Vixen wa DODO Hamisa Mobetto unawezekana.

Akiongea katika kipindi cha Fridy night show kinachoruka East Afrika Tv Alikiba amethibitisha hilo hilo baada ya Hamisa kuulizwa tutegemee Colabo kati yako na Alikiba  huku mobetto akisema si umuulize yeye si yupo lakini akaamua kumuuliza Alikiba yeye mwenyewe kuwa “Eti Dady” na Alikiba kujibu Yes Dady Inawezekana kwa sababu abba hawezi kumnyima mtoto wake Collabo.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment