Breaking

Thursday, April 9, 2020

Gwajima "Sina Tatizo na Paul Makonda, Namwombea"

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima nchini Tanzania, Josephat Gwajima amesema mbali na mabo yaliyotokea kati yake na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Poul Makonda  amesema amemsamehe na kwa sasa wana uhusiano mzuri.

"Sina uhusiano mbaya na RC Paul Makonda tuko vizuri tu, kwa kawaida mtu wa Mungu unatakiwa uwe ni mtu wa kusamehe na maisha lazima yaendelee, sitaki kumwongelea sana kwa sababu nilishamalizana naye namwombea sana" Askofu Josephat Gwajima

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment