Breaking

Wednesday, April 1, 2020

Hatimaye Meneja wa DIAMOND (Sallam-sk) Apona Virusi vya Corona..Aandika Haya Baada ya Kuruhusiwa

Hatimaye Meneja wa DIAMOND (Sallam-sk) Apona Virusi vya Corona..Aandika Haya Baada ya Kuruhusiwa

Hatimaye meneja wa DIAMOND (Sallam-sk) Apona virusi vya.... Aandika haya baada ya kuruhusiwa:

"Nimshukuru Allah 🙏🏽 na pia niwashukuru wote mlionitumia msg, comments, DM na dua zenu. Bila kuwasahau Temeke Isolation Centre kwa kuwa bega na bega pamoja na mie bila kunichoka pale nilipokuwa nimezidiwa, na shukurani zangu zingine ziende kwa Madaktari bingwa kujua maendeleo yangu mara kwa mara na pia Serikali yangu na viongozi wake husika Wizara na Mkoa walikuwa hawana ubaguzi kutujulia hali na kutupa moyo na kutupa mahitaji tutakayo. Naomba niwape taarifa ndugu yenu, kijana wenu nimechukuliwa vipimo mara mbili na nimekutwa NEGATIVE na kwa sasa nipo huru. Ila naomba tuendelee kujikinga na kufata ushauri wa viongozi wetu na kuacha maelekezo ya utashi yasiyokuwa na uhakika. ALLAH IS GREAT 🙏🏽🙏🏽🙏🏽" Sallam SK.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment