Ni majuma kadhaa sasa na mengi yamekuwa yakifichuliwa kuhusiana na uhusiano wa Diamond na Tanasha baada ya wasanii hao wawili kuweka kikomo katika mahusiano yao.
Licha ya Diamond kumwakikishia kuwa atasalia kumpenda katika mojawapo ya jumbe hizo,mambno haya kuenda jinsi alivyokuwa anatarajia Tanasha kwani siku chache tu jamaa huyo alianza kutamba na msichana mwengine na ambaye alimshirikisha katika video ya wimbo wake wa Jeje.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment