Kuna gym hua naenda kufanya mazoezi hapo posta, yaani sipendi kuwaficha, huku gym wanawake hawa wanaliwa sana, mwanamme kama unafuga kitambi chako usiruhusu mke wako aje gym huku
Ikifika mahali mwanamke ana mentality ya kua fit atatafuta a fit partner pia....
Ushauri wangu kwa wanaume ukiona mke au mpenzi wako anafanya mazoezi na diet ili awe vizuri afu wewe umekalia kufuga kitambi lazima utachapiwa tu hakuna namna yaani
Ni tahadhari tu maana I have seen enough
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment