Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema, amemuambia Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kufunga Dar es Salaam, Arusha, Mwanza haraka.
Lema amesema waziri afunge baa na kumbi za starehe nchi nzima na mikoa mingine ichukue tahadhari kubwa ikiwa ni kuzuia mikusanyiko,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa Twitter.
Mbunge huyo amesema watu wote wakae ndani ili kujikinga na ugonjwa wa Corona.
“Ni rahisi kutafuta mahindi ya msaada kuliko roho ya msaada,” aliandika Lema
No comments:
Post a Comment