Breaking

Tuesday, April 7, 2020

Mbunge Kishimba- Tutumie Gongo Kunawia Mikono Kujikinga na Corona


"Tunamuomba Waziri wa Afya, kwa kuwa wananchi wetu hawawezi kununua hizi sabuni ambazo zina alcohol 65% atamke basi wananchi kwa muda huu wa dharura wanaweza kunawia gongo ili kuzuia corona, hii sanitizer ina alcohol 65% na gongo ina alcohol 55%”_ Jumanne Kishimba, Mbunge Kahama Mjini

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment