Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagramu Ya Mwijaku Ameandika;- "#NAM-#PROUD #Tanzania ..! Kiukweli unakuawaga na mapungufu yako ya kibinaadamu ila linapo kuja swala la majanga hua unajua kuzitafuta thawabu mzee mwenzangu . Kwenye kuwalipia watu wasio jiweza kodi za nyumba na kama utalifanya bila RIHA diamondplatnumz unaenda kugusa mioyoo ya wahitaji na ramadhaani hiii kama nakuona tutakavo pishana peponi ...
Hongera kwa mama yako @mama_dangote kwa mawazo mazuri alio kupa kwenye hili ,ila nakuasa wachague wale wenye uhitaji tuu (wanasema nyuma ya mwanaume mwenye mawazo mazuri basi kuna mwanamke ambaye ni mama yako )..Kwani #CoronaVision-Ni wakati wa kusaliti hofu yako,kuachana na mashaka,kujihusisha na Imani thabiti na kufunga pingu za maisha na ndoto zako...Ukiona bado ungali na Afya na amani jua Mungu bado ana kusudi na wewe katika kufanikisha ndoto zako, sifa na utukufu tumuachie yeye ...#AskMwijaku#Hatukufundishi"-Nini Maoni Yako Kuhusu Swala Hili Tafadhari.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment