Breaking

Wednesday, April 8, 2020

Ray Kigosi Amkubali Kanumba Kwa Mara ya Kwanza "Kweli Alikuwa JEMBE Siku Hizi Kazi Zimedorora"


Itakumbukwa kuwa miaka 8 iliyopita Tanzania ilimpoteza Nyota wa filamu nchini maarufu kama Bongo Movie, Steven Kanumba ambaye alifariki Aprili 7, 2020.

Katika gemu hiyo ya Movie mshindani wa Kanumba alikuwa ni Ray Kigosi ambaye asema baada ya mwamba huo kuondoka ushindani katika tasnia hiyo umepotea na kazi zao ni kama zimedorora,

RAY Kigosi Afunguka Mambo Mazito Kuhusu Marehemu Kanumba Kuhusika ...

Akiongea na kituo kimoja cha redio Ray asema mbali na kummiss Kanumba kama jamaa yake amemisi katika tasinia kwani Kanumba na Ray ni kama jina moja.

“Kutokuwepo kuna gap kubwa competition imepotea baina yake mimi na yeye, Ray na Kanumba ilikuwa jina moja tangu afariki sasa sifanyi kazi kwa ushindani hivyo ubora hakuna, kazi zinakuwa kama zimedorora”.
Amesema ushindani wa wake yeye na Kanumba uliongeza ubora wa kazi lakini sio kwamba sasa hakuna wasanii wazuri lakini ushindani wa wawili hao ulikuwa waina yake.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment