"Najua nitatakiwa kuishi tofauti kwa wengine na utofauti wenyewe upo kwenye mitazamo ya watoto, ndani ya miaka 10 ijayo nitakuwa na miaka 42 nitakuwa mkongwe kwa mawazo haya nitakuwa na watoto watatu au wanne" ameeleza Rihanna.
Aidha ameongeza kusema "Nahisi kama jamii inataka kuona naishi vile nataka, hakuna mama ambaye atakuwa hana baba wa kuishi na watoto wake, ila kitu ambacho nakitaka ni furaha maana ndiyo utakuwa utajiri pekee kati ya mahusiano ya watoto kwa wazazi, kingine ambacho kitafanya kuwalea watoto ni ukweli na upendo".
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment