Klabu ya soka ya Simba imeingia kwenye nafasi 10 za juu katika listi ya klabu maarufu zaidi kwenye mitandao ya kijamii barani Afrika, ikishika namba nane kwa jumla ya wafuasi milioni 2.
Klabu ya Azam FC inakamata nafasi ya 13 katika listi hiyo ikiwa na wafuasi takribani wafuasi milioni 1 na klabu ya Yanga 957,000.
Hizi ni takwimu za klabu 20 bora katika mitandao ya kijamii barani Afrika.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment