Breaking

Friday, April 10, 2020

T.I.D Ammwagia Sifa Wema Sepetu "Kwangu Bado ni Mrembo"


MKONGWE wa muziki wa bongo fleva, Khaled Mohamed ‘T.I.D’ amedai staa wa filamu na mitindo nchini Wema Sepetu atabaki kuwa wa pekee katika suala la kulinda jina lake.

T.I.D amesema kikubwa ambacho anakipenda kutoka kwa mrembo huyo ni kulilinda jina lake tofauti na warembo wengine ambao wamekuwa wakisikika na baada ya muda kupotea.

“Wamepita warembo wangapi Tanzania jamani lakini jina la Wema lipo vile vile, kwa upande wangu namwona bado ni mrembo vyovyote atakavyokuwa bado analipigania jina lake,” alisema T.I.D.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment