GAME ya muziki wa Bongo Fleva kwenye upande kwa wakina dada kuna uhaba wa wasanii ' sasa kuongzeka kwa Zuchu ni kitu kizuri japo kinaweza kikawa kinawaumiza wengine .
Mbali na kuwepo kwenye Timu ambayo inajua promo ni nini pia Yupo na utofauti wake, sasa Wakati anatambulishwa huku kwenye mainstream kuna Nandy ambaye ndio top Female Artist in Tanzania kwa sasa Hapa ( Sipingwi ) .
Huko nyuma Nandy alishwahi pita pale Usafini pia na hapa ni katika kutafuta tobo tu' badae yakatokea mashindano ya kuimba Tecno on stage 2016 ambapo kama hufahamj pia Zuchu alishiriki kwenye haya mashindano lakini hakufanikiwa kuifikia lavel kubwa kama nandy .
Nandy alichukua pesa zake kwenye mashindano kwasababu alikua miongoni mwa washindi watatu na haya ndio mashindano yaliyompa Chachu Kuwa serious na muziki mwanzoni alikuwa anachezea Sharubu za Babu .
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment