Esi Mgimba meneja wa Alikiba amejitosa kuonesha kuna watu wanamfanyizia msanii wake kwa kuandika
Tuendelee kuangalia na kuenjoy #Dodo na Tusisahau kuna #DODOCHALLENGE"
Kisha baadaye meneja huyo wa Alikiba alirudi tena na screenshots za YouTube zinazoonesha video ya Dodo ilipata watazamaji wengi kwa muda mfupi kuliko ilivyozoeleka katika channel ya Kiba hivyo ni taratibu au suala la kiufundi YouTube wenyewe wanaweka sawa views wakishajiridhisha watarudi kama awali -
"TEAM KIBA na Wapenzi wote wa Muziki wetu na Muziki wa Bongofleva, Chamgamoto zipo Mbali mbali na zinatokea Sana, ila kama Video inavyojionesha Ukiangalia kwenye RealTime upande huu wetu Views ni hizo na Subscribers ni hao, na wanaendelea kuongezeka, kuna watu wamereport wanahisi labda kuna ukanjanja hapana, So ni Views zinafanyiwa Auditing na ZITARUDI ZOTE AND MORE, Msiache kuangalia na kuendelea kuenjoy" ameandika meneja wa Kiba.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment