Vijana 21 nchini Kenya akiwemo raia wa Ujerumani wametiwa mbaroni huko Nakuru nchini Kenya kwa kinachodaiwa ni kufumwa wakijirekodi mapicha ya ngono kwa lengo la kuuza kwa raia wa kigeni.
Baada ta kutiwa mbaroni wamewekwa karantini kwa siku 14 kisha uchunguzi kuendelea ili waweze kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria baada ya uchunguzi.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment