Polisi wanawatafuta watu 50 waliotoroka katika Kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika kama karantini
Wengine kati ya hao waliotoroka walikuwa wanasubiri majibu ya vipimo vyao kama wana #CoronaVirus, na walikuwa katika uangalizi iwapo wangeonyesha dalili yoyote ya kuwa na virusi hivyo
Hadi hivi sasa Kenya ina jumla ya visa 296 vya #COVID19. Huku watu 92 wakiwa wamekamatwa na watawekwa karantini kilazima baada ya kukiuka sheria ya kukaa umbali wa mita moja.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment