Katika taarifa iliotolewa na wizara ya Afya siku ya Jumapili, Msemaji wa serikali Cyrus Oguna alisema kwamba kati ya wagonjwa hao wapya mjini Mombasa , Nairobi 17 , kajiado 3 huku Kwale na Kitui zikitangaza wagonjwa mmoja mmoja mtawalia.
Idadi ya vifo ni 50 na waliopona wamefikia 313
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment