Breaking

Wednesday, May 16, 2018

DOWNLOAD | ALTERED CARBON - FULL SEASON

TV Show hii ambayo ilikuwa inarushwa kuanzia tarehe mbili Febuari, ambapo inahusu maisha ya miaka zaidi 300 ijayo, ambapo ni 2384.
Wakati ambapo teknolojia iko kubwa sana na ambapo miili ya watu inaweza kubadilishwa na usiwe mzee, Na mtu ambaye alikuwa ameishi miaka mingi ni Meths ambaye ni tajiri ambaye kopi yaubongo wake ameweka kwenye sehemu maalumu ambao anakuwa ana-update kila baada ya muda ili ata kama stack inatokea basi aweze kuwa resleeved.
Meth baadae anaambiwa amefanya mauaji na wakati huo alikuwa amepoteza kumbukumbu ya siku mbili zilizopita kutokana na kustack kwa mind yake na anatuhumiwa kuua na ndipo anaamua kumkodi mtaalamu Takeshi Kovacs ili kuchunguza.
Takeshi Kovacs ni Ex-envoy ambalo lilikuwa jeshi maalum, moja ya sofga yake yuko faster zaidi ya mwanga(light).

NB:DOWNLOAD YA KWANZA NI HIGH QUALITY YA PILI NI STANDARD QUALITY AU

No comments:

Post a Comment