Breaking

Wednesday, May 16, 2018

DOWNLOAD | HORROR MOVIE "HOWL" HAPA

Joe Griffin (Ed Speleers) anafika katika kituo cha treni cha Waterloo Station kwa ajili ya kutimiza majukumu yake ya kikazi katika moja ya safari ya usiku ya treni hiyo, ambayo inatakiwa ifike London usiku full moon. Kundi la abiria lilifika, kulikuwa naKate (Shauna Macdonald), Adrian (Elliot Cowan), Matthew (Amit Shah), Billy (Sam Gittens), Nina (Rosie Day), Paul (Calvin Dean) na Ged (Duncan Preston) pamoja na mke wake Jenny (Ania Marson). Wakati akiwa anakagua tiketi za abiria, anakutana na unrequited love, Mwanamke ambaye anauza chai, Ellen (Holly Weston). Safari ilianza lakini ndani ya saa moja wakiwa safarini, treni ilikuwa inapita katika maeneo lenye misitu na hakuna mawasiliano ya simu, "dead zone". ambapo sasa treni ililazimika kusimama in kuzuia  treni isije pia sehemu tofauti. Dereva Tony (Sean Pertwee) alitoka nje kwa ajili ya kuondoa mwili wa swali uliopo katika reli. Wakati yupo nje, Tony akagusa damu ya swala, Mara ghafla akawa na macho ya njano.AU

No comments:

Post a Comment