Breaking

Wednesday, May 16, 2018

DOWNLOAD SERIES YA KIKOREA WITCH'S COURT

General Information
  • Status: COMPLETED
  • Drama Title: Witch’s Court
  • Other Titles: Don’t Trust Her
  • Genre: Legal, Romance
  • No. of Episodes: 16
  • Runtime: 60 minutes

Yeo Jin-wook, Ni mwanadada mwendesha mashataka ambaye yeye anafanya kila kitu kwa ajili ya pesa, ambaye hajawahi kusita kumshambulia mtu, kutengeneza ushahidi wa uongo, pamoja na kuchochea na kula kiapo cha uongo ili aweze kushinda kesi yake, Sasa mwanadada anapewa kazi maalumu ya kuhusu unyanyasaji wa kijinsia.

Sasa anakutana na mtaalamu Yeo Jin-wook pamoja ambae alikuwa ni mtaalamu wa akili kwa watoto mpaka alipoamua kuwa muendesha mashataka na Jo Gap-soo, ambae ni law firm director.
Series hii ina jumla ya episode 16 tu ambayo ilikuwa inarushwa hewani kuanzia mwezi October mpaka November.

NB: Kama Movie haitokuwa na subtitle usisite kuacha maoni yake pamoja na email ili niweze kukutumia na kukuelekeza namna ya kuingiza hiyo subtitle.


1 comment: