Breaking

Wednesday, May 16, 2018

DOWNLOAD| SERIES YA KOREA I'M NOT A ROBOT

Kanda ya kikorea ambayo inahusiana na kijana wa kitajiri anayefahamka kwa jina la Kim Min Kyu ni bosi (Head of directors) katika kampuni ya KM Financial, Kim Min anasumbiliwa na aleji endapo atagusana na binadamu wowote yule anatokwa na vipele?ukurutu(rash) ndipo anaagiza Team ya Santa Maria Robotic team kumtengenezeawa Robot, aliyejulikana kama Aji 3.

Siku ambapo Robot anatakiwa akafanyie majaribio kwa Kim Min Kyu bahati mbaya Aji 3 akaharibika, Mkuu wa Santa Maria team Baek Kyun akampigia simu mpenzi wake wa zaman bibie Jo-Ji A aigize kama robot siku ya majaribio sababu robot alikuwa na sura ya Jo-JI A

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD

No comments:

Post a Comment