Breaking

Wednesday, May 16, 2018

TIGER ZINDA HAI - DOWNLOAD

Kanda ya kihindi jina ni "Tiger Zinda Hai," ilitoka Disemba 21 mwaka 2017 Kanda inaeleza operesheni ya  maajenti maalumu (Special Agent) mmoja kutoka India ambaye ni Salman Khan anayetumia jina la Tiger na Pakistani mwanadada Katrina Kaif kwa jina la Zoya wanaungana kwa ajili ya kupambana na magaidi wa syria ambao wapo katika nchi ya Iraq, ni huruma, hasira, and mbinu. Lakini pia ndani kuna sincere, energizing, pamoja na charming.AU

No comments:

Post a Comment