Breaking

Saturday, February 22, 2020

Director Kenny Ajibebesha Zigo Kosa la Diamond Ku Copy Video ya Watu

Mtaarishaji wa video ya Gere ya tanashadonna na diamond platnumz director Kenny amesema makosa ya kukopy idea sio ya Diamond ni ya kwake kwa sababu yeye ndo ameusika na idea ya video nzima😂 nini maoni yako kwa director Huyo🤔

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment