Breaking

Saturday, February 15, 2020

Huyu Hapa Binadamu Aliyezaliwa na Miguu Mitatu...Huyu Francesco Lentin alikuwa ni Raia wa Marekani alizaliwa tarehe 18/5/1889 huko Rosolini, Italy.

Francesco Lentin alizaliwa akiwa na miguu Mitatu (3) yote ilikuwa inafanya kazi, alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili na zote zilikuwa zikifanya kazi na alikuwa na jumla ya vidole Vya miguu kumi na Sita (16). Francesco Lentin alikufa kwa ugonjwa wa mapafu, Florida Marekani tarehe 21/9/1966 akiwa na miaka 77.

No comments:

Post a Comment