Breaking

Tuesday, February 18, 2020

Mke Wangu Ana Mimba; Katokea Kunichukia na Kampenda Mume wa Mtu Jirani na Chumba TulichopangaAman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habari hapo juu

Mimi kijana mwenzenu nasikitika sana na hii tabia ya mke wangu, kwakweli ana nichanganya sana jaman

Ana mimba ya miez sita lakin katokea kunichukia sana jaman hatak hata kunisogelea wala kula chakula mezan pamoja na mimi

Lakin katokea kumpenda mme wa mtu ambaye ni jiran wa chumba hapa tulipopanga

Mke wangu ni mama wa nyumban na hana kaz lakin mimi huondoka asubuh sana kwenda job lakin hurud usiku wa saa tatu

Nikifika nyumban get had nije nifunguliwe na mtu mwingine mke wangu yeye kalala tu na hata kama nikifika mlangon huwa hafungui upes yaan nitagonga mlango had bas na atakuja kufungua mda atakao taka yeye

Mfano jana nimefika nyumban saa tatu lakin alikuja kunifungulia saa tano usiku

Na kama nikiingia ndan anaanza kutema tema mate et kuna kitu ndan kinanuka shombo ya samak hasa mimi nikiingia

Yaan nakuwa naambiwa mda mwingine yule jamaa huwa anaingia had ndan mwangu kupiga story na mke wangu

Ina niuma sana mimi jaman

Nateseka sana jaman

Naomben ushauri wenu.

No comments:

Post a Comment