Breaking

Sunday, February 2, 2020

Rais Magufuli atoa salam za pole kufuatia vifo vya Moshi, Lindi

 Rais Magufuli leo February 02, 2020 ametuma salamu za rambirambi kwa Familia za Watu 20 waliopoteza maisha wakati wakitoka katika Ibada huko Moshi, Kilimanjaro na kwa Familia za Watu zaidi ya 20 waliopoteza maisha kutokana na madhara ya mvua kubwa Mkoani Lindi na Mikoa mingine.

No comments:

Post a Comment