Breaking

Monday, February 10, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 12

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 12
ILIPOISHIA.
Baada ya mwalimu mkuu kuniambia vile nilimtazama sana swaumu...
ENDELEA NAYO
Hakika swaumu ilionyesha fika alikuwa ni mgonjwa ila bado nikawa najiuliza kwanini amechagua nimpeleke mimi nyumbani haliyakuwa ana marafiki zake wakike,hayo maswali yalikosa majibu kichwani mwangu,basi bila kuchelewa tulitoka ofisini kwa mwalimu mkuu na mimi nikaelekea moja kwa moja ofisini kwa madame vero kwa ajili ya kumuaga akiwa kama mwalimu wangu mkezi na mwalimu wangu wa darasa na bila hiyana madame vero aliniruhusu.
baada ya kutoka shuleni huku tukiwa tunaendelea na safari mimi na swaumu na stori za hapa na pale zikiwa zinaendelea hali ya swaumu ilizidi kubadilika kuwa mbaya hasa tulipofika kwenye shamba moja la mokorosho na vichaka vingi,akawa anashindwa kutembea huku na mimi nikiwa nimemshika kiuono chake nikiwa namkokota.
"masumbuko samahani siwezi kutembea mpenzi wangu twende tukakae kwenye kivuli nipumzike alafu tutaendelea na safari"
baada ya kuniambia hayo sikubisha nikafanya kama alivyotaka tukaelekea hadi kwenye mti mmoja mkubwa aina ya msufi na hapo swaumu alitoa upande wake wa khanga mimi nikauchukua na kutandika chini aka kaa ila maajabu swaumu alianza kunitazama sana huku akiwa ni mtu wa furaha kitendo ambacho nilishindwa kukielewa juu ya mgonjwa yule nikawa najiuliza au ndio kifo kinamuita na tabasamu lile la yeye anakwenda peponi.
"masumbuko kwanza pole kwanza kwa usumbufu,mimi wala siumwi ni danganya toto tu,amini ninahamu na penzi lako,nimekaa darasani nimeshindwa kuvumilia na wewe unakaa kwa madame vero,amini masu ninanyege na hapa hauondoki hadi unitomb*"
wakati anayaongea hayo swaumu alikuwa anaongea kwa hisia zote huku machozi yakimlenga akawa anakuja kwangu na bila hofu katika moyo wake aliuleta ulimi wake ndani ya kinywa changu huku nikiwa najiuliza nimuache au....
HUSIKOSE SEHEMU YA 13
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
--https://drive.google.com/…/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSeU…/view
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

No comments:

Post a Comment