Breaking

Monday, February 10, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 17

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 17
Nilianza safari ya kuelekea kwa madame vero na sikuona haja ya kupitia tena shule kwa muda huo kutokana na muda ulikuwa umekwenda na zilibaki dakika chache tu wanafunzi waruhusiwe.
#ENDELEA NAYO.
nilipiga mdogo mdogo hadi kufika nyumbani ingawa kulikuwa na kahatua ila sikujali hilo na ukizingatia sikutembea bure nilifaulu ule msemo unaosema mkaa bure sio sawa na mtembea bure,nilitembea bure ila nimegonga mtu,hahahahahahahaha.
nilifika nyumbani na kukuta geti la nyumba lipo wazi nikawa najiuliza inamaana madame amesharudi au vipi,niliamua kupitiliza hadi ndani ila matumaini ya kuonyesha kwamba madame amerudi yalipotea kutokana na ukimya uliotawala ndani lakini pia hata angel sikumuona hivyo nilichukua hatua ya kumuita,niliita takribani mara nne lakini hapakuwa na matumaini ya kuitikiwa wito wangu ndipo nikaamua niingie ndani nielekee chumbani nikajipumzishe,tobaaaaa ile naingia ndani tu nilikutana uso kwa uso na angel akiwa anatoka kuoga na mbaya zaidi vile alivyovaa,alinifanya mwili wangu uchemke damu,acheni masihara wanawake mungu amejua kuwaumba na ndio maana tunaambiwa wanaume wengi tutaingia motoni kutokana na wanawake.
angel alikuwa amejifunga khanga moja tena nyepesi kabisa na ukiacha na kuwa nyepesi ilikuwa imelowana na maji maji na kufanya inate vema katika maungo ya mwili wake na kuuchora vizuri mwili wake na nilipomtazama vizuri ndani hakuvaa hata chupi yaani kama alivyozaliwa laiti khanga iseme idondoke basi naamini ata kuiokota hatoweza,angel ana chuchu konzi hivyo zilikaa vizuri katika khanga yake na kama unavyojua watoto wa kabira la kirangi mungu amewapa rangi,akawapa sura na pia akawapa maumbo yaani kiuno kimekatika balaa,
nilishusha pumzi polepole huku shetani wa ngono akininyemelea taratibu ila nilijitahidi kumkataa kwa muda huo na nilifanikiwa kumuepuka,angel alisimama mbele yangu na kunisalimua.
" habari yako kaka,pole kwa uchovu wa masomo,mimi nilikuwa naoga ila ukiwa teyari utakuta chakula kwenye meza nakuandalia"
baada ya kuniambia hayo mimi niliishia kumuitikia kwa kwichwa tu maana ile nguvu ya kutoa sauti ilipotea kabisa,alikatisha mbele yangu na kuelekea chumbani kwake,niliishia kumtazama tu huku nikijisemea kwa moyo wangu"sheetani koma maana hivi ni vya watu",niliingia chumbani kwangu na kujibwaga kitandani huku nikiwa namfikiria swaumu yale aliyonifanyia kule kichakani,nikawa najiuliza amenipendea nini swaumu maana sina mbele wala nyuma katika suala zima la kiuchumi,sina baba wala mama babu yangu ndie namtegemea na yeye ni mbwa kachoka kuwinda kwake ni kwakubahatisha,nilifikiria sana na hatimae usingizi ukanichukua hapo hapo.
mkono laini ambao ulikuwa unanigusa mwili wangu ndio ulinifanya nistuke kutoka usingizini,nilistuka kutoka usingizini na nilikutana na jicho zuri jeupe likiwa linanitazama usoni.
"masumbuko samahani,nimepakua chakula muda mrefu ila nimetoka chumbani muda huu nakuta chakula kipo vilevile na nimejaribu kukuita ila naona kimya ndio nimeamua nije nakukuta umelalal twende kwanza ukale alafu utarudi kulala"
hayo yalikuwa ni maneno ya angel nilimtazama sana wakati ananiambia hayo na nilimjibu nimekuelewa.
angel ni bint mzuri sana tena sana ingawa hana umbo kubwa kama la swaumu,ni binti fulani hivi mwenye heshima zake ana kaumbo kadogo ana kifurushi kama cha swaumu ila anavutia kwa mwanaume yeyote yule.
nilimwambia nimekuelewa atangule nakuja,basi angel alitangulia kutoka ndani ya chumba changu na mimi nikaaa nyuma yake ile natoka tu mimi na madame akawa ndio anafika kutoka kazini hivyo nilikutana naye uso kwa uso,alitutazama sana kitendo ambacho kilinipa hofu na wasiwasi mkubwa huku nikiwa najiuliza madame atakuwa ameshahisi vibaya labda natomb* mdogo wake ila nilipomtazama angel wala hakuwa na hofu zaidi ya kutabasamu na kumfurahia dada yake.
"waoooo dada huyo,karibu dada yangu nimetoka kumuamsha masumbuko aje kula chakula maana amerudi muda mrefu hajala alilala tu"
baada ya angel kumwambia hayo madame vero,madame alishangaa sana na aliangalia saa yake.
"haujala hadi muda huu masumbuko mdogo wangu,umerudi saa ngapi shule?"
madame aliniuliza na mimi nikadakia nikamwambia nimerudi saa 8 dada,alinitazama na kutikisa kichwa.
"sawa ila ukitoka shule tu cha kwanza kula alafu mengine yanafuata sawa mdogo wangu,nenda ukale sasa"
Baada ya kuniambia hayo nilielekea kwenye meza ya chakula na madame alimtazama angel kisa wakachekeana mtu mdogo wake kitendo ambacho kiliniumiza roho,nikawa natamani na mimi ningekuwa na kaka yangu au dada yangu na ninaamini tungependana kama madame vero na angel ila sina na hata wazazi pia sina.
baada ya hapo angel alitoka nje na madame akawa anaeleke chumbani kwake,nikawa namtazama jinsi anavyoachia tako huku nyuma akiamungu huyu mwalimu mungu amemuumba nikavuta taswira ile siku niliyomuaona anajichua mwenyewe nikawa najiuliza anatatizo gani hadi anajiridhisha mwenyewe kwenye tendo la ndoa haliyakuwa na mwanamke mzuri na bado kijan,nikawa namtazama kwa kumtathmini ila alipofika mbele alisimana na kugeuka alikutana na jicho langu likimtazama na kwa aibu kubwa nilijikuta nainamia chini mwenyewe.
"ooooh sorry masumbuko nilitaka kusahau,vipi hali ya dada mkuu swaumu anaendeleaje na amepata matibabu"
hahahahaha kabla sijamjibu nilijisemea mwenyewe ndani ya moyo "nyokooo anaumwa ugonjwa gani bana,alikuwa na nyege ana nishamtomb* labda aumwe asahivi alipofika kwao"
nikamjibu madame kwamba ameshapata tiba na dawa madame,basi aligeuza na kuingia chumbani kwake na mimi ndio nikainua uso wangu nakuendelea kumtazama kwa...
HUSIKOSE SEHEMU YA 18 YA HADITHI HII TAMU,MAANA MBELE KUNANOGA ZAIDI,UNATAKIWA #KULIKE HII PAGE YA @GODSTAR_TZ ILI UWE WA KWANZA KUSOMA HADITHI KILA INAPOTOKA NA USISAHAU #KUSHEA KWA WENGINE ILI NA WAO WAISOME.
#MAONI NA #USHAURI RUKSA.
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
--https://drive.google.com/…/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSeU…/view
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

No comments:

Post a Comment