Breaking

Monday, February 10, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 18

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 18
nikamjibu madame kwamba ameshapata tiba na dawa,basi aligeuza na kuingia chumbani kwake na mimi ndio nikapata nafasi ya kuinua uso wangu juu na kuendelea kumtazama.
#ENDELEA NAYO
jamani nyinyi madame vero acha tu jinsi mungu alivyomuumba amini ninayokuambia wanawake wanatutesa sana.
basi na mimi nikawa naendelea kupiga msosi ambao uliandaliwa na mtoto mzuri angel huku nikitabasamu kwa jinsi kilivyokuwa kitamu,wakati naendelea kula nilisikia sauti ya madame vero ikiniita chumbani kwake,tobaaa mapigo ya moyo yalienda kwa kasi kwa dakika kusikia naitwa chumbani kwake nikawa najiuliza ananiitia nini na kuna nini maana hata siku moja sijawahi kwenda chumbani kwake,basi masumbuko mie sikusita kuitikia wito wa mlezi wangu madame vero hivyo nilinyanyuka na kuelekea moja kwa moja chumbani kwake,yalaaaa nilibaki nikitoa macho kwa jinsi nilivyomkuta amevaa jamani jamani jamani nyinyi wanawake mungu anawaona na nyie ndio mtasababisha wanaume wengi tuingie motoni nyie,nilimkuta madame amevaa khanga moja tupu tena nyepesi iliyoishia kwenye magoti na kufanya maungo yake ya nyuma kuonekana vizuri kwa jinsi yalivyojichora hasa mstari wa chupi yake ingawa sikujua alivaa chupi ya rangi gani.
"samahani masumbuko naomba unitolee hiyo henga ya nguo hapo juu ya kabati,mimi siwezi kupanda"
mmmh watu wengine wanamakusudi ilimradi tu wakusumbue hapo sehemu penyewe anaposema hawezi kupanda wala sio parefu,basi nilitii vizuri ombi lake nilipanda juu ya na kumtolea henga ya nguo,na kutoka nje ila kabla sijatoka kuna kitu nilikiona kitandani kwake ingawa yeye mwenyewe alikifunika kwa nguo ila kwa umbea wa mijicho yangu ilifanikiwa kuona,zilikuwa ni shanga basi nilitabasamu tu nilipofika mlangoni.
Kwakweli ukitaka kuniteka na kuniuwa nguvu kabisa univalie shanga tena zenye kupangiliwa rangi vizuri maana kuna wanawake wengine baada wavae shanga wao wanalundika uchafu kiunoni.
HUSIKOSE SEHEMU 19
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
--https://drive.google.com/…/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSeU…/view
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

No comments:

Post a Comment