Breaking

Thursday, February 6, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 2

MTUNZI: GODFREY GODSTAR

CONTACT: 0712730692

FB PAGE: Godstar_tz

PARTY 2

#ILIPOISHIA

Akaamua kuelekea kwake ila alipofika mbele babu aligeuka na kutabasamu,tabasamu ambalo lilinipa maswali mengi kichwani mwangu nilijiuliza kwanini babu ametabasamu na kuna jambo gani limemfenya atabasamu kati ya haya ambayo tumeyaongea au ananificha nini?

#ENDELEA NAYO

basi bila ya ajizi na Mimi niliamua kugeuza kuelekea bandani kwangu huku kichwa kikiwa hakipo sawa kabisa.

Kama ilivyokawaida weki endi ilimalizika salama asubuhi ya siku iliyofuata mimi ndio nilikuwa wa kwanza kufika shule maana siku hiyo sikutaka mzaha kabisa hasa nikikumbuka fimbo nilizozichezea ijumaa ya wiki iliyoisha basi da imenilazimu niwahi namba kwa siku hiyo,nilifika mapema shule na kufanikiwa kupata namba huku nikiwa tunaendelea na usafi wa mazingira ya shule nikiwa nimepinda mgongo na nimekamata fagio langu nikiwa nalipitisha kwenye ardhi ya shule nilisikia sauti ikiniita "MASUMBUKO" sauti ambayo ilipenya katika masikio yangu na kufahamu fika aliyeniita ni nani,sikusita kuitikia wito wa madame VERO hivyo ilinilazimu kualiacha fagio chini na kumfuata alipo.
nilimsalimia madame VERO baada ya kuitikia salamu yangu aliniambia niende ofisini kwake nikamngojee huku yeye anakuja,kwakweli nilibaki na mshangao huku nikijiuliza nimefanya kosa gani tena au fimbo za ijumaa zinataka kujirudia tena na ukizingatia madame VERO anaga kawaida ya kuniita leo hii nimefanya kosa gani kwakwe,maswali kibao nilijiuliza huku nikiwa naelekea ofisini lakini maswali hayo yote sikuyapatia majibu zaidi ya kusema ngoja niangalie yatakayotokea.

Muda mchache baadae made me VERO aliingia ofisini kwake na kunikuta nimesimama,

"vipi MASUMBUKO muda wote umesimama ebu kaa kwenye kiti kwanza Mara moja"

baada ya madame kunuambia nikae kwenye kiti na mimi sikusita ilinilazimu nifanye kama nilivyoambia tena kwa heshima zote huku mwili na moyo vikiwa vimekosa amani kabisa,

"MASUMBUKO unajua kwamba hakuna kitu ambacho kinaweza kikakomboa maisha yako isipokuwa elimu pekee?,hivi unajua msaada wa maisha yako ni elimu"

baada ya kuniambia maneno hayo madame nilibaki nikiwa na mshangao mkubwa sana kwamba nimemuuzi nini madame VERO maana ananiambia maneno,maneno ambayo sijawahi kuambiwa na mwalimu yeyote hapa shule zaidi ya hii leo naambiwa na mwalimu wangu wa darasa,

"sitaki nikupe mawazo sana MASUMBUKO ila kuwa huru tena ondowa hofu,kengere ya darasani imeshagongwa hivyo nakuomba uende darasani mdogo wangu ila ikifika muda wa mapumziko SAA 4 naomba uje ofisini sawa MASUMBUKO"

wakati ananiambia hayo mkono wake wa Julia ulikuwa juu ya began langu la upande wa kushoto hivyo alinifanya nijue ulaini wa kiganja chake na hasa pale alipokuwa ananitazama usoni wakati anaongea kwa muda huo vilifanya nijue Vinci vizuri kutoka kwake,
kwakwli madame VERO ni mwanamke mzuri sio kwenye rangi tu,ukitazama umbo lake ndio balaa ni mwanamke mwenye shepu yake ingawa sio mnene wala sio mwembamba na amepanda kidogo kiasi cha kwamba akivalia viatu virefu na akijumlisha na mwendo anaotembea ambao umeongezewa na tako alilokuwa nalo nyuma basi ndio balaa,naweza kusema mungu amemjalia kila idara ingawa sijajua idara ya mambo ya ndani kama nako amejaaliwa,nilikuwa namtazama kiuoga sana kutokana na hofu niliyokuwa nayi,
nilinyanyuka na kuelekea darasani ambako nilikuta wenzangu washaingia muda mrefu,kitendo cha kuweka makalio yangu kwenye kiti tu na kengere ya kipindi cha kwanza iligongwa na kipindi cha kwanza kilikuwa ni cha madame VERO cha hisabati basi kama alikuwa anangojea kengere igongwe tu aje haikuchukuwa muda mrefu aliingia darasani ila ufundishaji wa siku hiyo wa madame uliniacha mdomo wazi maana kila swali aliniangushia Mimi sikujua kwanini anafanya hivyo ingawa nilikuwa namuelewa vuzuri kile anachonifundisha,
Muda ulikwenda kwa siku hiyo na kengere ya mapumziko iligongwa na Mimi nikaelekea moja kwa moja kwa madame VERO ili nikajue alichoniitia.

"karibu MASUMBUKO kaa hapo"

ni madame alinikaribisha na nikaketi kwenye kiti,alikuwa akinywa chain kwa muda huo lakini jicho langu lilikuwa halina uthubutu kwa kumtazama usoni kwa aibu niliyokuwa nayo na kwa uzuri aluokuwa nao huyu dada kwakweli.

"MASUMBUKO mbona unatazama chini sana njoo unywe chai mdogo wangu"

aliponiambia kwanini natazama chini tu ailinipasa niinue kichwa changu na kumtazama ,akiamungu hicho nilichokiona kifuani kwakwe ilinipasa niheme ndani kwa ndani,niliona maziwa ya madame VERO yakiwa ya.........

HUSIKOSE SEHEMU YA 3

UNAPENDA KUJUA KILICHOJILI ILA NAKUAMBIA SIO YA KUKOSA HII HADITHI MBELE PANANOGA KAMA HAUNA MPENZI HUSISOME MAANA UTATESEKA SANA,FANYA KULIKE HII PAGE ILI UWE WA KWANZA KUPATA HADITHI KILA INAPOPOSTIWA NA WAALIKE NA WENZAKO KWA..

Image may contain: 1 person, sitting and text

No comments:

Post a Comment