Breaking

Wednesday, February 12, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 21

MTUNZI: GODFREY GODSTAR

CONTACT: 0712730692

FB PAGE: Godstar_tz

SEHEMU YA 21

#ILIPOISHIA

"Oooohh..nakupenda dada sitaki kukuacha ila nataka...

#ENDELEA NAYO

"Ooohh...nakupenda dada sitaki kukuacha ila nataka..."

angel kabla hajazungumza anachotaka kumwambia dada yake gafra madame vero alimziba mdomo na kumwambia.

"angel mpenzi sitaki uwe unaongea sana chochote kwangu nakupatia na amini nakupenda na unaniridhisha sababu sijaona mwanaume wakunikuna na kunifikisha ipasavyo hivyo acha iwe siri yetu hili na sitaki uwe unapiga kelele pale unapoona raha zaidi si unajua hii ni siri na humu ndani asahivi kuna mtoto wa kiume bby"

wakati madame vero anayaongea hayo mimi nilikuwa nachungulia na alikuwa hajui kama mimi nishafahamu siri yao,basi angel alinyanyuka kitandani kwa ajili ya kutoka chumbani kwa dada yake na mimi harakaharaka nilirudi chumbani kwangu,nilifika chumbani huku namba hazisomi kabisa hasa nikifikiria uzuri walionao kuanzi madame vero na mdogo wake angel,kwakweli mungu ameumba na mama amezaa ila nikawa navuta picha ya maneno ya madame vero ya kwamba hajapata mwanaume anayemridhisha vizuri na kumkuna tena na kumfikisha kileleni duhh,na hapo ndio nikaukumbuka ule wimbo wa young killer kwenye ule mstari unaosema wanaume wadaa walioshindwa kumpa mimba wema sepetu,dah nilijikuta nikitukana tu mwenyewe ndani ya moyo usenge huu mimi sio mwanaume wa dar mimi ni mmakonde originali hapa chichimami wala chikai lazima niwaonyeshe watu wanakuna vipi tena naanza kwa madame vero.

asubuhi na mapema kama ilivyo ada sikuhiyo sikutaka kuongozana na madame vero shule,yeye alitangulia na kuniacha ndani,baada ya kutoka kuoga nikaingia chumbani moja kwa moja nikawa napakaa mafuta ila kwa bahati mbaya kitana sikukiona hivyo nilitoka moja kwa moja hadi chumbani kwa angel,nilikuta mlango umefungwa hivyo nilijua fika kwamba bado haja amka niliamua kugonga mlango wake,baada ya sekunde kadhaa mlango ulikuja kufunguliwa,ooooh angel alifunga mlango wake haraka haraka.

"masumbuko bwana ona sasa umenichungulia mimi nilijua ni dada vero kumbe wewe uwe unatoa sauti"

hahaha nilibaki nikicheka peke yangu kimya kimya angel alidhani madame vero ndio anagonga hivyo alikuja na chupi tu mlangoni na hapa ndio nilifaidi uzuri wa huyu mtoto kuanzia kifuani hadi miguni,mtoto amekata balaa.

"aya niambie unashida gani maana naona hata aibu kufungua mlango,sio tabia nzuri hiyo"

nilimuomba samahani na nikaamua kumueleza shida niliyoifuata kwamba nahitaji kitana,basi bila kupoteza muda angel alifungua mlango kidogo na kupitisha mkono wake akanipa kitana pasipo yeye kumuona na mimi nikaelekea chumbani kwangu.

siku hiyo nilifika shule nikiwa na mawazo na mawazo ya siku hiyo yalikuwa ya kuweka tu urafiki na shetani,yaani nawaza ngonongono.
Wakati naweka begi langu darasani nilimuona dada mkuu swaumu anakuja kwa tabasamu zuri.

"morning my love,miss u sana yaani hadi mpenzi"

swaumu alikuwa anayaongea hayo huku akiwa ananitazama husoni na uso wake ukiwa na furaha ambayo inadhihirisha dhahiri ni kweli alikuwa na shauku au hamu ya kuonana na mimi,sikuwa na choyo kwamaana hata mimi nilimmisi hivyo nikimwambia miss u 2.

swaumu alitazama kulia na kushoto akaona hamna mtu akanivutia darasani kwa nguvu.

"masumbuko nakupenda na kila ninapokuona wewe mwenzako napatwa na haja,yaani huku chini nalowana prease nihudumie mwenzako leo"

haaa nilibaki nimekodoa macho kama shoga niliyefumaniwa na mwenye mme guest,maana nilijiuliza kwamaana swaumu hajui kama hapa ni shule na hapa ni darasani au vipi,
Hivyo nikaona bora nimwambie kwamba baadae aje nyumbani geto kwangu kwa babu maana leo sitoenda kwa madame vero.

"Sawa ila naomba hata uniingize kidole tu nifurahi na uone jinsi kulivyoloana masumbuko....

HUSIKOSE SEHEMU YA 22 YA HADITHI HII TAMU YA UTAMU WA MAMA,BADO INANOGA NA NIFAYA.
HUSISAHAU KUSHEA BAADA YA KUISOMA ILI NA WENGINE WASOME,MAONI YENU NI MUHIMU KWANGU NA LIKE ZENU.

DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
👉https://drive.google.com/file/d/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSeUONuhRM/view?fbclid=IwAR1PJlz7GF0I9-wdDZwpv6-ayENtmeE9TLYckZBpwkAPcuYHs6h4nM2Lm9M

SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

#LIKE
#COMMENT
#SHARE

Image may contain: 1 person, text

No comments:

Post a Comment