Breaking

Friday, February 14, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 29

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 29
nilipofika hadi kwenye ile nyumba ambayo kuna yule mama anayenichukia ikiwa ni kiza gafra kuna mkono ulinishika mkono wangu wa kulia,nikageuka haraka kutaka kujua ni nani..
mmmh nilibaki nimeduwaaa kuona kile ambacho nilichokiona..
#ENDELEA NAYO
macho yangu yaligongana uso kwa uso na yule mama,mwili wangu ulipatwa na baridi ya gafra tena ikiwa imeambatana na ganzi kubwa,kila kiungo cha mwili wangu kikawa kimekakamaa kwa muda huo huku hofu ikiwa imechukua nafasi kubwa katika moyo wangu,nikawa najiuliza mwenyewe kuna nini leo hadi huyu mama amenikamata mkono,haliyakuwa hata siku moja hajawahi kuniongelesha,kunisimamisha,kunituma hata kuitikia salamu yangu tu pale ninapomsalimia,leo nimemfanya nini jamani au anataka kunifanya nini na kiza hiki mimi.
nilikuwa najiuliza mwenyewe ndani ya moyo pasipokupata majibu ya haraka na ya ukweli,ikanibidi nimuache shetani na kumrudia mungu kwa wakati huo.
"masumbuko mwanangu"
duuuh moyo ulipiga paa baada ya kumsikia yule mama akiniita mwanangu maana nilishangaa ameniita vizuri tena kwa upole sana.
"masu watu husema dunia tambala bovu ila sio kweli dunia haifanyi chochote,ipo palepale ila walimwengu ndio wabovu"
sikumuelewa ana maanisha nini juu ya yale maneno yake,nikavunja ukimya na kuamua kumuuliza anamaana gani.
"hahahaha masu una umbo dogo,mwili mdogo ila utendaji wako wa kazi ni mkubwa sana katika kukoboa kwa kutumia mchi kwenye kinu,ila nakupa tahadhari tafuta vizuri na vilivyo huru na iache serikali,yule ni mtoto wa mwenye kiti,narudia tena walimwengu ndio wabaya,ila.hongera upo vizuri"
nilibakia nikishusha pumzi kwa kutetema huku nikinyanyua hatua zangu kuelekea geto kwangu na nikimuacha yule mama akiingia chumbani kwake.
nilifika chumbani na kukaa kitandani nikawa nayatafakari maneno ya yule mama ila pia nikapataja jibu kwamba yule ambae alikuwa anachungulia dirishani wakati namtomb* swaumu kumbe alikuwa ni yule mama lakini pia nikajiuliza imekuwaje leo huyu mama amenisimamisha akaniongelesha na amenichekea tena lile cheko la uhitaji wa kitu.
asubuhi ilipambazuka na pia ilikuwa ni siku ya shule ila uchovu ulinifanya nisipate hamasa ya kwenda shule kwa siku hiyo,nilitoka kwangu na kuelekea hadi kwenye nyumba ya babu ila kwa bahati mbaya sikumkuta alikuwa ameenda shamba kulima na mimi sikutaka kupoteza muda na ukizingatia nilikuwa na njaa ya kufa mtu iliyosababishwa na kazi ya jana usiku,nilienda kubadilisha nguo na moja kwa moja nikaelekea nyumbani kwa madame vero.
nilipofika nje ya nyumba ya madame getini nilikuta geti lipo wazi nilinyoosha moja kwa moja hadi chumbani kwangu,ingawa kuanzia naingia nje hadi nafika chumbani kwangu sikumuona mtu hivyo moja kwa moja nilijua angel yupo chumbani kwake.
sikuchukua muda sana kukaachumbani nilitoka nje ila ile natoka tu macho yangu yaligongana uso kwa uso na angel tena alikuwa anajifunga khanga yake vizuri hivyo nilishuhudia jinsi alivyo.
"oooh...jamani kumbe upo,samahani nilijua haupo daaah...nisamehe kwa ulichokiona husimwambie dada"
angel alipatwa na aibu akawa anatazama chini kwa jicho la aibu,ukweli mtoto ameumbika,ana nyama sio mifupa ambayo mwenyewe ni fisi,chuchu za kunata,hicho kitovu ni balaa upaja ndio kabisa kwa bahati mbaya K yake sikuiona alinivalia chupi ya pink ambayo ndio ugonjwa wangu,ukitaka uniteke na hata pesa nikipe nivalie chupi ya pink,zambarau,nyeupe na nyeusi aisee umeniuwa kabisa.
nilimwambia asihofu wala sijaona kitu ila ukweli wakati huo shetani wa ngono alikuwa ameshanipanda kichwani,asumani jicho moja alikuwa ameshasimama balaa.
swaumu akawa anakuja kwangu sasa akiwa anaelekea chumbani kwangu,basi kile kitendo tu cha kunipita nilimkamata kiuno chake.
"nonooo...unataka nini ebu niache na uwe na heshima sawa,kuona viungo vyangu tu teyari minyege kibao,niache masu"
angel lilimtoka povu hadi nikaona hii leo nini yaani kumshika kiuno tu,aliutoa mkono wangu kwa nguvu na kuuputa pembeni akawa anaendelea na safari,ila mwanaume sikutaka kuonekana dhaifu na ameshanitusi basi nilimuita na bila hofu akasimama.
nilimuuliza swali moja mimi ni nani?
"hahahah unauliza wewe ni nani si kaka masumbuko"
baada ya kuniambia hayo nikamuuliza wewe ni jinsia gani?
akanitazama kwanza kisha ndio akanijibu.
"mimi ni mwanamke"
nilimuuliza hilo swali la yeye ni jinsia gani kutokana na kile anachokifanya yeye na dada yake cha kushiriki tendo la ndoa wakiwa ni jinsia moja,wanasagana hivyo nilimuuliza hilo swali kwa maana kubwa sana.
nilimuomba asogee karibu yangu kwanza ili nimuhoji vizuri ingawa lengo langu kubwa lilikuwa ni kumfanya afurahie uwepo wa mwanaume katika maisha yake,hisia na mwili wake,basi angel akajiroga......
HUSIKOSE SEHEMU YA 30 YA HADITHI HII TAMU YA UTAMU WA MAMA,HUSIACHE KUSHEA ILI NA WENGINE WASOME KAMA,WEWE MAONI NI MUHIMU SANA.
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
👉https://drive.google.com/…/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSe…/view…
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

No comments:

Post a Comment