Breaking

Saturday, February 22, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 42

UTAMU WA MAMA
MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 42
"oooh vizuri,masumbuko mwanangu,vizuri sana....."
#ENDELEA NAYO
mwalimu alivyoniambia vizuri sana nilibaki kushangaa huku nikijiuliza kuna nini hadi mwalimu aniambie vizuri.
"sasa masumbuko kuna kazi hapa nahitaji unisaidie tena ikiwezekana na swaumu atakusaidia ingawa hapaswi kuifanya ila ninamuomba akusaidie"
swaumu alinitazama kisha akatabasamu,ikanibidi nimuulize swaumu kichinichini ni kazi gani hiyo ambayo mwalimu mkuu anataka kunipatia ila alinijibu msikilize mwenyewe.
"sasa kuna mafaili hapa unatakiwa uyapange kwenye hili kabati maana ni mengi sana na mimi natoka hivyo mkimaliza mtaendelea na kazi zingine na muda wa vipindi ukiwadia kama bado kazi haijaisha mnaweza kuacha na kuendelea na vipindi sawa"
basi Madame baada ya kumaliza kuyanena hayo alitoka nje na kutuacha sisi wawili tu.
"hahahahh masumbuko naona kijasho kilikuwa kina kutoka baada ya kuambiwa una kesi kwa mwalimu mkuu,ebu acha woga mpenzi wangu"
ukweli kabisa tangu natoka kwa mwalimu kambona hadi nakaribia mlango wa ofisi ya mwalimu mkuu sikuwa na amani kabisa,viungo vilikufa ganzi,moyo ulikuwa unadunda kwa kasi huku miguu yangu ikiwa haina nguvu.
"sikiliza masu wangu ukweli kabisa haukuwa na kosa ila wakati unaingia getini hadi unawekwa pale chini na mwalimu kambona mimi nilikuwa nakuona na kwa bahati nzuri mwalimu mkuu aliponiambia nitafute mtu wa kumpangia mafaili ndipo nilipopata nafasi ya kumtuma yule mwanafunzi aje kukuita mpenzi wangu"
nilibaki nikiangusha kicheko huku nikiwa nimejiinamia chini ila gafra swaumu alinikamata shingo yangu na kunivutia kwake.
nilishangaa huku nikijiuliza anataka kunifanyia nini tena.
"unashangaa nini masu na wewe ni mwanaume wangu rijali tena unanitomb* vizuri na mimi ni mpenzi wako woga wa nini nahitaji mate yako bhana"
mamaaaa nikaona hichi sasa ni kisanga maana swaumu sasa kashakuwa hatari aangalii tupo wapi yeye kokote anataka tu.
nikaona nimwambie na kumkumbusha kabisa kama hapa tupo ofisini tena kwa mwalimu mkuu na istoshe tumepewa kazi tuifanye.
basi kabla sijamaliza tu swaumu alininyamazisha kwa kuuleta mdomoni kwangu.
dah nguvu ziliniishia nikajikuta nampa ushirikiano wa dhati kabisa,nikasahau kama tupo ofisini.
tulianza kunyonyana ndimi zetu,huku mate yakihama kutoka kinywa kimoja kwenda kinywa kingine,utulivu ulitawala kwa wakati huo,jicho la swaumu lilikataa kabisa kufumbuka,akawa amelegea hadi akawa hawezi tena kusimama,basi nikajikuta kama vile niko nyumbani nilimbeba swaumu na kumkalisha juu ya meza ya mwalimu mkuu.
duuh amini husiamini mapenzi ni kitu kingine hasa nyege ni hatari nyie,yaani unaweza kujikuta unafanya jambo mahala sio stahili kabisa,ndivyo nilivyofanya mimi nilisahau kama nipo shule tena nipo ndani ya ofisi ya mkuu wa shule,tena nikajifanya jemedali wa vita na meza yake nikaoina kama vile kitanda.
"jaaaa...mmm...ninyonye ulimi mume wangu...mate...mate yako masu maaa.."
dah swaumu bwana akaanza kugugumia huku akijinyonga nyonga na kuimba nyimbo za mapambiao.
nilimnyonya ulimi swaumu mwisho uzarendo ukamuinsha,akachukua mkono wake na moja kwa moja akauingiza kwenye suruali yangu na hakufanya hajizi kabisa,aliikamata mbo* yangu vizuri akawa anaitoa nje sasa...
USIKOSE SEHEMU YA 43 YA HADITHI HII TAMU YA KUSISIMUA YA UTAMU WA MAMA,LAZIMA UJUE KWANINI NI UTAMU WA MAMA,BADO MBICHI KABISA.
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

No comments:

Post a Comment