Breaking

Saturday, February 22, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 45

UTAMU WA MAMA
MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 45
siku hiyo kwangu ilikuwa ni siku yenye furaha kwa upande wangu ingawa haikuwa rahisi akili yangu kuielekeza kwenye masomo kwa siku hiyo.
#ENDELEA NAYO
mawazo yangu yalitawala sana kwa swaumu,kiukweli nilikuwa na mtihani maana nikiwa nyumbani swaumu ananichanganya nikiamua kuwepo kwa madame vero basi yeye na mdogo wake wananichanganya yaani ni tabu tupu.
walimu walifanya kazi yao kwa uweledi kwa siku hiyo darasani kwetu,akitoka mwalimu wa kipindi husika anaingia mwalimu mwingine wa kipindi husika.
ingawa kwa upande wangu akili yangu kwa siku hiyo haikufanya kazi kwa uweledi iliamia kwenye masuala ya ngono tu.
"masumbuko yupo wapi"
nilisikia sauti ya mwanafunzi mmoja akilitaja jina langu kwa herufi kubwa,hivyo ikanibidi nimtazame ni nani.
dah nilibaki nimeduwaa na kutabasamu baada ya kumuona alikuwa ni mwalimu james,ni rafiki yangu lakini ni mwalimu wangu hivyo nilijitokeza na kumwambia nipo teacher.
"pumbavu kweli tangu asubuhi nakutafuta ulikuwa wapi au umechelewa kuingia shule leo?.
nilitabasamu kidogo alafu nikamwambia nimechelewa ila nilifika pindi watu wapo mstarini na mimi mwalimu mkuu akanichukua niende kumfanyia kazi ofisini kwake.
"ok tuachane na hayo njoo nje mara moja kuna ishu nataka nikuulize"
masumbuko nilinyanyua makalio yangu kwenye kiti na moja kwa moja nilitoka nje kumsikiliza teacher.
"masumbuko kuna jambo nataka nikuulize na pia nataka unisaidie mshikaji wangu sawa"
nilishusha pumzi kwanza kabla ya kumuuliza ni ishu gani
"mbona unashusha pumzi kwa uoga hivyo,acha woga,sikia hivi yule mtoto swaumu anakamatia nani?"
aisee hilo swali lilinipa kigugumizi balaa huku nikawa najiuliza kwanini ameniuliza swali hili mimi,au anajua mahusiano yangu na swaumu.
"mbona umeduwaa kukuuliza hilo swali masu..niambie maana wewe ndio unakaa naye kijiji kimoja hivyo naamini utakuwa unafahamu?"
alizidi kunipagawisha mwalimu james,ikanibidi nijikaze kisabuni kwa kumjibu kwamba sijui anayetoka naye.
"acha kunificha dogo,kweli kabisa hauju anayeshikilia mzigo ule au wewe mwenyewe"
oooh teacher tena,mimi na mambo hayo wapi na wapi,wewe mwenyewe unanifahamu.
"husiseme wewe na mambo hayo wapi na wapi,kwani wewe sio mwanaume rijali au shoga,acha upumbavu bwana masu"
nilicheka kidogo kisha nikainamia chini na kumwambia anayemkamatia sijamjua ila nikimjua nitakujuza huku moyoni nikisema laiti ungejua ni mimi mmh na upande wa pili najiuliza au anajua ila ananitega.
"sasa sikia masumbuko mimi dogo namtaka,maana ule mkund* unanipagawisha hivyo nahitaji msaada wako"
mmmh moyo wangu ulifanya paaa...
USIKOSE SEHEMU YA 46 YA HADITHI HII TAMU YA UTAMU WA MAMA.
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

No comments:

Post a Comment