Breaking

Sunday, February 9, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 6

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 6
"masumbuko...yes...kizungu..she..ki..ki..kidole chake ki..."
"shsshi masumbuko prease nakuomba uingize bby,unanitesa mwe...nz...akooooo"
swaumu alikuwa anazidi kulalamikia kidole changu nimuingize,swaumu alikuwa hasikii la muazini wala la mkimu swala,akasahau kabisa kama yupo shule,wakati analazimisha nimuingize kidole,ilisikika sauti nje ya kiranja wa nidhamu na alikuwa si mwingine ila ni BEN,
"oooh dada swaumu kumbe upo huku maana mwalimu mkuu alikuwa anakuita anahitaji yale majina aliyokuambia umuandikie"
Swaumu alimwambia kwamba ananisimamia mimi nimalizie kufanya usafi wa stoo.
"ok dada mkuu,aya masu vipi tena umekutana na zahama gani kwa dada mkuu mpaka umeletwa huku uje kufanya usafi na sio kawaida yako masu"
Ben aliniuliza hilo swali na kutaka kujua ni kipi nilichokifanya hadi kupelekea kupewa adhabu,swaumu alituacha na kuondoka kuelekea alikoitwa na mwalimu mkuu.
siku hiyo kwangu ilikuwa ni siku ya furaha na huzuni,nikisema ni siku ya furaha namaanisha raha ya asubuhisubuhi niliyoipata ya kumtia vidole swaumu na nikisema huzuni ile adhabu niliyoipata isiyo na tija ya kimaendeleo kwangu,
ilipofika saa 7 mchana kuna mwanafunzi alitumwa na madame vero aje kuniita darasani na mimi bila hofu na kuwa na kiburi niliitikia wito wake na nilielekea moja kwa moja ofisini kwake.
"masumbuko humzima kijana wangu?,mbona kimya sana na haujanipa mrejesho wowote kuhusu yale tuliyoyapanga?"
nimtazama mwalimu vero kwa sekunde kadhaa bila ya kumjibu na kilichonifanya nimtazame ni tabasamu lake zuri lililotawala katika mdomo wake na kulifanya lizidi kupendezesha sura yake nzuri.
"masu unafikiria nini au haukumwambia babu yako"
sikuwa na jibu zaidi ya kumwambia kwamba babu amekubali kuhusu hilo ameniruhusu kwa moyo mmoja madame
"oooooh thanks mungu ametenda miujiza yake mdogo wangu na pia azidi kukuongoza katika masomo yako ili humsaidie vema babu yako na familia yako,masu nakuomba kengere ya kwenda nyumbani ikigongwa huje ofisini na tuongozane wote sawa mwanafunzi wangu"
baada ya kuniambia hayo sikutaka kupoteza muda nilitoka nje ya ofisi yake na kuelekea moja kwa moja darasani.
Kengere ya kwenda nyumbani iligongwa na nikaelekea ofisini kwa mademe vero nikambebea vitu vyake na nikaingia kwenye gari lake,wakati naingia kwenye gari swaumu aliniona na akaamua kuvunja ukimya na kunifuata nilipo.
"masumbuko aya niambie wapi unakwenda Leo,au unapitia kwa mademe alafu ndio urudi nyumbani?
sikutaka maswali na wala hajue ninaenda kukaa huko huko kwa madame hivyo nilimjibu kwa mkato kwamba naenda mara moja alafu narudi home,
Mishale ya saa 9 tulifika nyumbani kwa madame vero,alipiga honi ya gari yake na geti kubwa la nyumba yake likafunguliwa,
Wakati tunashuka kwenye gari kuna binti mmoja mwembamba ingawa sio sana,rangi yake ni maji ya kunde,anasura nzuri lakini pia anakifua cha kutundika koti,alikuja mpaka pale tulipo na kumsalimia madame kisha akachukua mizigo na kuondoka ila kabla hajafika mbali madame alimsimamisha kwa kumuita jina lake.
" angel ebu njoo mara moja"
baada ya madame kumuita yule msichana lake ndipo nilitambua kwamba yule binti anaitwa nani ingawa sikujua anaeje madame vero,kwakweli huyu binti ni mzuri sana ingawa tofauti iliyopo kati yake na swaumu ni mkubwa swaumu hana uzuri wa sura na rangi ila ana bonge la chura kitu ambacho angel amekikosa,basi angel aliitikia wito wa mademe vero na kurudi alipokuwa madame,
"abee dada"
"hivi angel mdogo wangu hiyo ni heshima gani,hapa unamuona mgeni lakini unashindwa hata kumsalimia na badala yake unaondoka,au unataka nionekane mimi dada yako ndio nakulea hivyo bila nidhamu"
wakati madame anayaongea hayo angel aliinamisha kichwa chini na mwisho akaomba msamaha,kwakweli madame hakuwa na kinyongo alimsamehe na mimi sikuwa na hiyana nilimsamehe mazima,
alimisogelea kwa ajili ya kunisalimia,alinipa mkono wake ila wakati namshika mkono tu kunakitu kilinistahajabisha na kunifanya niduwae kitu ambacho sikuwahi kukiona wala kukijua katika maisha yangu ila angel ali...
HUSIKOSE SEHEMU YA 7
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
--https://drive.google.com/…/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSeU…/view
UTAMU WA MAMA HAPA NDIPO UNAPOANZA KUNOGA HIVI UNAKOSAJE KWA MFANO.
LIKE PAGE UWE WA KWANZA KUPATA KILA MUENDELEZO UTAKAOPOSTIWA NA SHEA.

Image may contain: 1 person, sitting and text

No comments:

Post a Comment