Breaking

Sunday, February 9, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 7

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 7
kitu ambacho sikuwahi kukiona wala kukitarajia katika maisha yangu,angel ali...
angel alinipa mkono huku uso wake ukiwa haunafuraha,yaani uso wake ulidhihirisha fika kwamba amechukizwa na mimi pasipo na Mimi mwenyewe kujua tatizo.
"habari yako,karibu jisikie upo nyumbani lakini pia nisamehe kwa kutokukujulia hali"
angel aliokuwa ananiambia maneno hayo huku akiwa anautoa mkono wake katika mkono wangu,
Moja kwa moja tulielekea ndani mimi, angel pamoja na madame vero na kama unavyojua tena masumbuko mie nimezoea kukaa kwenye kibanda changu cha nyasi hivyo macho yangu hayakusita kutarii katika nyumba ya madame kwa uzuri wa ile nyumba,nilipofika ndani nikajifanya na mimi nayajua masofa hivyo wala sikusita kuyaweka makalio yangu kwenye sofa,
"masumbuko karibu mdogo wangu na jisikie upo nyumbani kwenu mwanafunzi wangu,mimi ni dada kwako lakini pia ni mwalimu wako na yule uliyemuona unaweza pia kumuita dada,chochote utakachokihitaji husisite kuniambia masumbuko sawa"
madame vero hakusita kunipa maneno mazuri na yenye kutia faraja na matumaini,kwakweli alikuwa ana moyo wa kipekee lakini pia alikuwa ni mwalimu wa kuigwa katika shule yetu maheha.
Madame aliniacha sebreni na kuelekea chumbani kwake na kuniacha mimi nikishangaa shangaa mapambo ya nyumba na haikuchukua muda nilimsikia madame akimuita angel bila kupoteza muda angel aliitikia wito wa madame na akapita mbele ya mboni za macho yangu kuelekea chumbani kwa madame,
mmmh angel ni mtoto mzuri sana,ana rangi ya asia na muda huu alinifanyia kitu sio kabisa alivaa kanga moja nyepesi na ndania alivaa chupi tu chupi ambayo ilijichora vema katika khanga yake aliyoivaa na kunifanya masumbuko mie mapigo ya moyo kwenda pasipo na mpangilio maalumu tena hakusita kuyatingisha matako yake malaini na kumfanya athumani jicho moja wangu kusimama na kutafuta njia ya kutokea katika boxer yangu,lakini pia aikuchukua muda angel alirudi tena kutoka kwa madame alinipita bila hata kunitazama na kunifanya aniache na maswali yaliyokosa majibu kamili,
maisha ya madame vero kwa ujumla hayakuwa mabaya lakini pia elimu yake ni ya juu sana na ndie academic wetu wa shule,
angel alikuja na sahani ya chakula aliniwekea mezani na kunikaribisha nile sikutaka makuu mtoto wa kimakonde wa watu nilisogelea chakula na kuanza kula wakati naendelea kula nilimuona madame vero akitoka chumbani kwake mkononi akiwa ameshika kitabu,
unajua mini mpenzi msomaji kuna muda mwingine unaweza ukatamani hata kutembea na Dada yako si kwamba unapenda ila Dada anakupa vishawishi basi ndivyo ilivyokuwa kwa madame,alitoka ndani akiwa amevaa kanga moja na juu amevaa brauzi,madame amejaaliwa tako na hasa akiwa ameliweka ndani ya khanga ndio kabisa,niliishiwa pizi gafra huku mawazo ya kusoma yakiwa yamepotea kwa muda huo,halmashauri ya ubongo wangu yalikuwa yanajadili uzuri wa madame vero kwa muda huo na sio kusoma.
"masumbuko vipi chakula kitamu au ndio kibaya mdogo wangu"
madame hakusita kuniulizia juu ya chakula ninachokula na bila kusita nilijikuta najibu tu kitamu huku uso wangu ukiwa na aibu na kujikuta nainamia chini.
"masumbuko acha utani ni kweli kitamu au unampaka mafuta angel kwa mgongo wa chupa nawe,kama kibaya husisite kusema dogo"
nilicheka kwanza kidogo baada ya madame kuniambia maneno hayo na nikamalizia kwa kumjibu tena kwamba chakula kitamu huku nikinawa maji mikono baada ya kumaliza chakula na kumshukuru madame.
"OK mdogo wangu tunze kusoma maana hilo ndio lengo kamili la wewe kuja hapa ni kusoma sawa"
baada ya kuniambia hayo tulisogea kwenye meza ya kusomea na kuanza kunifundisha ila ukweli kabisa kwa Siku hiyo alichokuwa ananifundisha nilikuwa simuelewi hata kidogo nilikuwa namtazama yeye tu usoni kwa jinsi alivyokuwa anavutia na hasa lipsi zake zilinivutia sana kumpiga busu la mdomo ila nilikuwa sina ujanja ukizingatia ni mwalimu wangu tena wa darasa lakini pia ni mwalimu wa taaluma na pia ni mkubwa sana kwangu,hivyo nilitamani kwa macho tu.
akiwa anaendelea kunifundisha upande wake wa khanga ulisogea pembeni kidogo katika eneo lake la paja na kunifanya macho yawe yanapepesa katika upaja wake tu kitendo ambacho madame alikigundu na moja kwa moja madame alini....
HUSIKOSE SEHEMU YA 8
NAJUA UNATAMANI KUFAHAMU KINACHOENDELEA BASI LIKE PAGE HII ILI UWE WA KWANZA KUISOMA KILA INAPOPOSTIWA NA SHEA KWA WENGINE PIA.
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
--https://drive.google.com/…/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSeU…/view

No comments:

Post a Comment