Breaking

Sunday, February 9, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 9

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0712730692
FB PAGE: Godstar_tz
SEHEMU YA 9
ILIPOISHIA
Madame vero akawa anachomoa mashine,mmmmh mamaaa yangu nilibaki nimeduwaa kwa kuachia mdomo wazi maana sikutaka kuamini kile nilichokiona na sikutarajia hata siku moja kuja kukiona kile kitu na pia sikutegemea kama madame anaweza kuyanya kile nili.....
ENDELEA NAYO
nilichokiona,madame alikuwa anaichomoa mb** ya bandia,kwakweli nilikuwa nasikiaga tu sikuzote kama wanawake na wao huwa wanajichua ila sikupata kushuhudia ila leo nimeshuhudia kwa jicho langu kutoka kwa madame tena mtu mwenye elimu yake.
nilitoka haraka haraka kuelekea chumbani kwangu huku asumani jicho moja wangu akiwa bado amesimama wima ila ile nakaribia kwenye mlango wangu tu nilikutana na mdogo wake madame vero tena uso kwa uso huku akiwa amevaa upande mmoja wa khanga tu na yeye alikuwa anaelekea huko nilikotoka mimi kwa madame vero,moyoni nikijisemea leo madame anafumwa na mdogo wake juu ya upumbavu wake anaoufanya,angel alinipita bila hata ya kunisemesha na mimi nikaingia chumbani kwangu na kujibwaga kitandani huku nikiwa na mawazo kibao juu ya kile nilichokiona lakini pia nilivuta taswira ya uzuri wa madame,umbo lake,matako yake,maziwa na zile shanga alizozipangilia kiunoni mwake kwa rangi nzuri ndio kabisa ila bado nikawa najiuliza kwanini anafanya vile,kwanini anamaliza haja zake yeye mwenyewe haliyakuwa wanaume wapo kibao.
saa kumi na mbili kamili asubuhi nilistuka kutoka usingizini na moja kwa moja nikaelekea bafuni kwa ajili ya kuoga ila nilopopita sebreni nilimkuta angel akiwa ameinama anapiga deki kibaraza sasa kule nyuma kwake kulikuwa ni balaa mtoto ni mwembamba ila kwakweli amejaaliwa wowowooo hivyo nilibaki nimesimama nikimtazama pasipo na yeye kugundua kama nimesimama nyuma yake nikiwa bado namtazama nilisikia sauti ya madame vero akiniita.
"masumbuko muda umekwenda asahivi nenda kajiandae tuondoke"
kitendo cha madame kuniambia vile ndio kilimshtua angel na....
HUSIKOSE SEHEMU YA 10
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.
--https://drive.google.com/…/1qtYFz3rlGY7cOjkNj6LYq1HSeU…/view

No comments:

Post a Comment