Breaking

Tuesday, February 18, 2020

Wafunga Ndoa Chini ya Maji Siku ya Valentine DayWapenzi nchini Thailand tarehe 14 Feb wameandika historia yao baada ya kuoana katika sherehe iliyofanyika chini ya maji katika siku ya wapendano, maarufu kwa jina la Valentine Day, mjini Trang, kusini mwa Thailand. 

No comments:

Post a Comment