Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwataarifu Watanzania kuwa ofisi za Ubalozi wa China hapa nchini imeanzisha mfumo wa kuchukua alama za vidole kwa waombaji wa Visa ambao ulizinduliwa rasmi Desemba 24 mwaka jana.
Wednesday, February 12, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment