Breaking

Tuesday, February 18, 2020

Zitto Kabwe Arudi Nyumba "Mimi Kama Zitto nautaka Urais, Msamiati wa Woga Haupo Kwangu"

"Mimi kama Zitto nautaka Urais, ningependa siku moja niongoze nchi yangu, nitende haki na niongoze Tanzania ambayo inaheshimika Kimataifa" - Zitto Kabwe Ruyagwa

"Mimi msamiati wa woga haupo kwangu.  Ukishaamua kushiriki kwenye harakati za kidemokrasia,
 unajua umeshasaini hati ya kifo"- Zitto kabwe

"Ziara ilikuwa na mafanikio makubwa sana na ndio maana watawala wanahangaika na wanaendelea na vitisho kwa sababu ya mafanikio ya ziara yetu Ulaya na Amerika" Zitto kabwe.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment