Breaking

Thursday, March 26, 2020

Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Simba Kuzikwa Leo Dar..


Uongozi wa clabu ya simba umepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha aliyewahi kuwa msemaji wake Asha Muhaji kilichotokea siku ya jana katika ospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mazishi yatafanyika leo alhamisi saa 10 jioni katika makaburi ya mwinyi mkuu magomeni mapipa

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment