Breaking

Tuesday, March 24, 2020

AMKA NA SMS HIZI NZURI


Nimekutana na wazuri wengi wanaovutia wengi, nimekutana na matajiri wengi wenye sifa za kuhonga, nimekutana na matapeli wengi wa mapenzi wanaojaribu kunitapeli. Lakini kila wanaponitaka nawaambia moyo wangu ni mmoja na una nafasi ya mmoja ambaye ni wewe niliyekuhifadhi siku zote hadi nitakapoaga dunia.
**********
Naomba nafasi ya mwisho katika penzi letu, kosa nililofanya naomba liwe kosa endapo nitarudia, mpenzi usiniache kwani utanitesa maishani mwangu. Hakuna binadamu aliyekamilika, nipe nafasi ya kukuhudumia katika chumba cha mahaba. Hakika utaridhika na tiba yangu.
*********
Aishii, sweet…nikikubusu unajisikiaje..ohoooo! nikikushika kifuani je? Unahisi kitu gani? Aishiii baby….nikishuka chini ya kifua taratibu unasikia raha gani? Ohooo! Nikikushika chini kidogo unahisi nini!  Basi, hapo..hapo… nijibu unajisikiaje maana hapa ndipo mwisho wa raha…oishii baby…nasikia raha…niambie unanipenda na hutaniacha…mwili wangu mali yako…siwezi kumpa mwingine…mwaaaaa!
**********
Some broken heart, may never mend, some memories may never  end, some wet tears may never dry, but my love for you will never die……!
*********
My love for you is a journey, starting at forever and ending at never.. I LOVE YOU ……..
*********
Mpenzi japo tupo mbali…naomba uniamini wewe nipekee moyoni mwangu, nitakuwa muaminifu daima maishani, umbali hauwezi kunifanya nipoteze uaminifu, I LUV U SO MUCH.
*********
 It is so hard to express how you make me feel and how true this feeling is. I will say it now and every day, I truly love you from the bottom of my heart. If you ever catch me just staring at you, it’s because I’m staring…

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment