Moja ya picha zilizosambaa Sanasana Facebook huko nchini Nigeria ni hii inayodaiwa kuwa ni ya Raia mmoja wa nchi hiyo aitwae Azubuike kumzika Baba yake na gari aina ya BMW badala ya jeneza, imeripotiwa kuwa thamani ya gari hilo ni Tsh. Milioni 200.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
Friday, March 27, 2020
Amzika Baba Yake Kwenye Gari Aina ya BMW Lenye Thamani ya Milion 200
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment