Breaking

Thursday, March 12, 2020

Bado Kulia ni TATIZO Kubwa Kwa Wanaume Ndio Maana Hujikuta Wanachukua Maamuzi Magumu ya Kujiua au Kuuwa


Tafiti zinasema kila Mwanamke analia wastani wa mara 30 hadi 64 kwa mwaka, wakati Mwanaume analia mara 6 hadi 17 pekee kwa mwaka
“bado kulia kumeendelea kuwasaidia Wanawake kupunguza hasira, Wanaume wanajizuia kulia na kutunza hasira mwisho wanachukua maamuzi magumu kama kuua na kujiua, mwaka 2020 tunashauri Wanaume walie zaidi kwa faida ya afya zao”

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment