Breaking

Saturday, March 28, 2020

Bosi wa Halotel na Wenzake Mbaroni kwa Kuhatarisha Usalama wa Taifa, Hasara Kwa Serikali


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Halotel, Son Nguyen (46) pamoja amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakabiliwa na mashtaka 10 tofauti. 

Miongoni mwa mashitaka yanayowakabili ni la kuisababishia hasara Serikali ya Sh 78bilioni, kwa kutengeneza bomba ambalo linapitisha mawasiliano fichwa ambayo ni hatari kwa usalama wa Taifa. 

Hata hivyo Nguyen ambaye anazaidi ya miaka 10 katika kampuni hiyo hayupo peke yake katika mashitaka hayo bali yupo na na wafanyakazi watano wa Kampuni hiyo.HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment