Breaking

Saturday, March 28, 2020

Breaking News: Moto Mkubwa Wazuka, Wateketeza Soko la Wafanya Biashara Wadogo Wadogo


Moto Mkubwa Umezuka katika Soko maarufu la wafanyabiashara wadogo wadogo jijini Arusha na Kuteketeza kila kitu ambacho kipo katika enao hilo ikwemo vibanda vya nguo na vitu vya thamani.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment